
1 293
subscribers
Can't Join? t.me/baseddepartmentimage
1 293
subscribers
Updated: Jun 12, 2025
baseddepartmentimage
May 3, 2025, 16:08
#CHAKUSHANGAZA
Usaliti wa Rafiki: Kifo cha Thomas Sankara
Muuaji wa Rais wa zamani wa Burkina Faso, Thomas Sankara, hakuwa mtu wa mbali. Alikuwa rafiki yake wa utotoni, Blaise Compaoré. Wawili hawa walikua pamoja tangu wakiwa watoto, waliishi pamoja na hata kulelewa pamoja na baba yake Sankara. Urafiki wao ulikuwa wa karibu kiasi kwamba waliishi kama ndugu wa damu.
Baadaye, walijiunga pamoja na jeshi la Burkina Faso na kuendeleza ukaribu wao. Thomas Sankara alipofanikiwa kuwa Rais wa nchi hiyo, alimchagua rafiki yake huyo mkubwa, Blaise Compaoré, kuwa Makamu wa Rais wake. Uaminifu na upendo wa kindugu ulitawala kati yao—angalau ndivyo Sankara alivyodhani.
Siku tano kabla ya mauaji ya Sankara, walifanya sherehe pamoja; walikunywa na kucheza wakisherehekea tukio fulani muhimu. Lakini katika usiku huo wa furaha, Sankara alipokea taarifa ya siri kutoka kwa maafisa wa usalama wake kwamba Blaise Compaoré alikuwa ameandaa mpango wa kumuua.
Thomas Sankara aliisikia taarifa hiyo lakini hakuweza kuiamini. Vipi rafiki yake mkubwa? Mtu waliyeshirikiana maisha tangu utotoni? Mtu aliyemwamini sana kiasi cha kumfanya Makamu wake? Aliamini kuwa haiwezekani mtu wa karibu kiasi hicho awe na nia ya kumuua.
Lakini dunia hii imejaa usaliti. Hatimaye, tarehe 15 Oktoba 1987, Thomas Sankara aliuawa katika mapinduzi yaliyoongozwa na mtu aliyempenda kama ndugu – Blaise Compaoré. Sankara alipigwa risasi 11 kifuani na 4 kichwani na vijana waliotumwa na Compaoré.
Baada ya kutekeleza usaliti huo, Blaise Compaoré alichukua uongozi wa Burkina Faso na kuwa Rais kwa miaka 27. Hadi leo, bado anaishi nchini Ivory Coast na hajawahi kulipa gharama ya usaliti wake.
Huu ndio ukweli mchungu wa dunia: mara nyingi, anayekuangamiza si adui wa mbali, bali rafiki wa karibu.
Pumzika kwa amani, Thomas Sankara.
baseddepartmentimage
May 3, 2025, 16:08
baseddepartmentimage
May 3, 2025, 13:30
baseddepartmentimage
May 1, 2025, 10:31
Afu leo mnitumie basi vocha ili nimalizie hii story.... hamuoni hata huruma nimeandika gazeti lote hilo...0627408679
Tumeni laki laki hizo
baseddepartmentimage
April 26, 2025, 4:38
(SEHEMU YA 14)
Wakaamua kutumia niia ya kuseti njia zote za mawasiliano nchini uingereza kuweza kudaka mawasiliano yoyote ambayo yatakuwa yanahusu uwizi uliotokea ila hii nayo haikufua dafu kwani ilipita kama wiki tatu hakuna mawasiliano yoyote yaliyokuwa yakihusiana na uwizi uliotokea na hivyo kufanya kazi kuwa ngumu kuwatrace, hizi njia zote MR BASIL alishaziandika kwenye nakala yake alizowapa wazee wenzake.
Hapa sasa wakaamua kutumia njia nyingine ya kuangalia kamera za jiji ambazo zinazunguka mitaa na barabara zote za karibu na bohari salama huku wakioanisha na rekodi za video za nje ya bohari salama ili kuona kama watapata chochote kusaidia uchunguzi wao.
Wapelelezi wakaanza kuangalia rekodi za video kwa makini sana kuona wataambulia kitu, katika uangaliaji wakagundua kuwa kuna gari moja siku ya tukio lilikuwa linapita barabara pembeni kabisa na eneo la tukio mara nyingi nyingi kuliko magari mengine yote yaliyokuwa yanapita siku hiyo, wakaanza kujiuliza ni kwanini hili gari lilipitapita mara nyingi siku ya tukio wakanza kupata wasiwasi nalo.
Mmoja wa wawapelelezi akasema kwanini tusiangalie rekodi za nyuma kama lilikuwa linapitaga mara nyinginyingi isije kuwa ni kawaida ya hili gari, wakakubaliana na kuangalia rekodi za nyuma na kukuta halijawahi kupita hapo kwa rekodi za mwezi mzima uliopita, ikawa kama mwanga kwao.
Wakaamua kuoanisha na rekodi za video za nje za bohari salama kama hilo gari lilifika hapo, la haulaa kuangalia rekodi zile wakakuta lile gari usiku wa tukio liliingia ndani ya bohari salama na kuegeshwa sehemu ya mgari na akashuka mtu akiwa amevalia kama watu wa manispaa kama yale magari mengine waliyoyaona [yale magari mengine waliona watu wa manispaa wakishuka wakiwa wamevalia nguo za kazi ila walishindwa kuwajua kwasababu ya gari walizotumia zilikuwa za kukodi na kuwa ngumu kuwatrace, kwani wakiwatrace yanakuja majina ya makapuni ya kukodisha magari]. Roho zikawa zinawadunda wakiomba huyu mshtumiwa awe ametumia gari lisilo la kukodi kama la wale wenzake, kwenye zile rekodi za video plate namba ilionekana vizuri na kuzichukua kuziingiza kwenye mfumo na zikajibu kwa kuleta jina la mtu binafsi na undani wake kwa ujumla. INAENDELEA
baseddepartmentimage
August 13, 2024, 12:50
baseddepartmentimage
September 29, 2024, 17:58
1000ml Cordless Spray Gun for Dewalt/Milwaukee/Makita/Bosch 18V 20V Li-ion Battery Auto Furniture Coating Airbrush Paint Sprayer more...
Sale Price 👉 36.24$ 72.48$
🔥🔥🔥🔥 PRICE ALERT 🔥🔥🔥🔥
Rating: ⭐⭐⭐⭐⭐
baseddepartmentimage
September 29, 2024, 17:59
1Box Cherry Pink Chrome Pearl Nail Powder Gradient Mirror Effect Nail Art Glitter Auroras Rubbing Dust Nail Art Decoration 10g more...
Sale Price 👉 1.88$
Rating: ⭐⭐⭐⭐⭐
baseddepartmentimage
September 29, 2024, 14:58
4pcs/set 4734 Model Battery Daily Oral Care Toothbrush Head Soft Bristles Replacement for Oral B Dual Clean Complete Brush Heads more...
Sale Price 👉 3.83$ 4.03$
Rating: ⭐⭐⭐⭐⭐
baseddepartmentimage
September 29, 2024, 11:59