Перейти к содержанию
TelegramInformer

Chakushangaza

@chakushangaza Факты шона

Njoo▶tukujuze ▶tukushangaze ▶tukuelimishe ▶tuulishe ubongo wako madini CHANNEL ILIANZISHWA RASMI MNAMO 11/06/2019

Открыть в Telegram
Подписчики
3 244
24 часа
−2
7 дней
–
30 дней
−94
Средний охват поста
41
Просмотры поста через 24 часа
Вовлечённость
1,3 %
Охват ÷ подписчики (ERR)
Постов в день
1,1
В среднем за 30 дней
Упоминания
0
Другими каналами за 90 дней
Реакции на просмотры (ER)
0,12 %
Реакции ÷ просмотры, 30 дней
В среднем на пост
Реакции
0
Репосты
–
Комментарии
–
Индекс цитирования
–
Другие каналы не цитировали его за 30 дней
Рекламные посты
0 %
0 из 33 постов за 30 дней помечены как реклама

Динамика подписчиков

Подписчиков у канала «Chakushangaza»: 3 244. Отток за последние 30 дней: 94 (-2,8 %). Средний охват поста за сутки около 41, вовлечённость 1,3 %.

По дням, последние 30 дней
Дата Подписчики Изменение Посты Ср. просмотры поста
11 ноя 3 244 −2 5 16
10 ноя 3 246 −1 8 32
9 ноя 3 247 −4 3 43
8 ноя 3 251 −9 2 66
6 ноя 3 260 −78 0 –
6 окт 3 338 – 0 –

Просмотры по возрасту поста

Средние просмотры в каждом возрасте, посты за последние 30 дней.

6 ч
21
12 ч
18
48 ч
46
3 дня
51

Когда публикует

Время по UTC. 33 поста за 90 дней.

Последние посты

  1. Открыть пост

    #CHAKUSHANGAZA Kilwa Kisiwani. Katika miji ambayo leo ilitakiwa kuwa na maendeleo makubwa Africa mashariki ni Kilwa kisiwani. Karne ya 10 hii himaya isha simama na inafanya biashara ikiwa na watawala wenye uweledi Karne ya 14 Mreno Vasco da Gama anawasili Kilwa akielekea India. Maendeleo ya hapa yanamshangaza huyu mreno. Anamwambia mtawala wa Kilwa awe analipa ushuru kwa mfalme wa Ureno. Mtawala wa Kilwa anakataa ombi hilo. 1505 Mreno anavamia Kilwa na kuteketeza kila kitu. Himaya ya Kilwa yapotea milele.

    21 просмотров
  2. Открыть пост
    Фото Смотреть в Telegram
    20 просмотров
  3. Открыть пост

    #CHAKUSHANGAZA HISTORIA YA RELI TANZANIA: ILIPOANZA, MADHUMUNI YA WAKOLONI NA SAFARI YAKE BAADA YA UHURU. Historia ya reli katika eneo la Tanzania inaanzia visiwani Zanzibar, takribani mwaka 1879, wakati wa utawala wa Sultani Barghash bin Said. Sultani alijenga reli binafsi iliyounganisha kasri lake la Chukwani na Mji Mkongwe wa Zanzibar, umbali wa takribani kilomita 11. Mwanzoni mabehewa yake yalikuwa yakivutwa na nyumbu, lakini mwaka 1881 akaagiza kichwa cha treni kinachotumia mvuke kutoka Uingereza. Reli hiyo iliendelea kutumika hadi mwaka 1888. Kwa upande wa Tanganyika, ujenzi wa reli ulianza mwaka 1893 chini ya utawala wa Wajerumani, katika mji wa Tanga. Reli hiyo iliyojulikana kama Usa...

    13 просмотров
  4. Открыть пост

    Katika kipindi hicho, usafiri wa reli ulihusishwa pia na usafiri wa majini kupitia maziwa makuu ya Afrika Mashariki. Ziwa Victoria lilihudumiwa na meli kama MV Victoria, Ziwa Tanganyika likawa na MV Liemba, MV Mwongozo na MV Sangara, huku Ziwa Nyasa likihudumiwa na meli kama MV Iringa na MV Songea. Mfumo huu uliwezesha abiria na mizigo kusafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi na kuvuka mipaka ya mataifa jirani. Hata hivyo, Jumuiya ya Afrika Mashariki ilipovunjika mwaka 1977, mfumo wa pamoja wa usafirishaji ulivunjika pia na kila nchi ikaendelea kusimamia huduma zake. Tanzania baadaye iliunda Shirika la Reli Tanzania (TRC) mwaka 1977. Hiyo ndio historia ya reli zetu kutoka kipindi cha Su...

    16 просмотров
  5. Открыть пост
    Фото Смотреть в Telegram
    12 просмотров
  6. Открыть пост

    #CHAKUSHANGAZA SEHEMU YA NNE MIEZI MINNE YA SIRI DAR ES SALAAM, MKEWE ALEIDA NA KUONDOKA KWAKE TANZANIA Moja ya matukio ya kipekee katika kipindi hicho lilikuwa ziara ya mkewe, Aleida March, aliyefika Dar es Salaam kwa siri mwezi Februari 1966. Che na Aleida walipata nafasi ya kukaa pamoja kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa maelezo ya Aleida, ilikuwa moja ya nyakati chache ambazo wawili hao walipata nafasi ya kuwa pamoja kwa muda mrefu bila kuingiliwa na majukumu ya kisiasa na kijeshi. Tangu walipofunga ndoa mwaka 1959, maisha ya Che yalikuwa yamejaa safari, mapambano na majukumu ya kimapinduzi kiasi cha kuwafanya watengane kwa muda mrefu. Kipindi chao cha Dar es Salaam kilik...

    45 просмотров
  7. Открыть пост
    Фото Смотреть в Telegram
    32 просмотров
  8. Открыть пост

    #CHAKUSHANGAZA SEHEMU YA TATU ALIRUDI DAR ES SALAAM KWA JINA LA BANDIA, KISHA AKAANZISHA OPERESHENI YA KONGO Baada ya ziara yake ya kwanza Tanzania, Che Guevara aliendelea na safari yake na hatimaye kurejea Cuba mwezi Machi 1965. Lakini mipango ya operesheni ya Kongo ilikuwa ikiendelea. Mwezi Aprili 1965, aliondoka Cuba kwa siri akiwa na utambulisho mpya. Alitumia jina la Ramón Benítez, huku akibadilisha muonekano wake kwa kunyoa ndevu, kuvaa miwani na kutumia nyaraka za kusafiria zilizomfanya asitambulike kirahisi. Tarehe 19 Aprili 1965, alifika Dar es Salaam akiwa sehemu ya kikundi kidogo cha Wacuba waliokuwa wakielekea katika operesheni hiyo. Hata Pablo Rivalta, balozi wa Cuba nchini Tan...

    33 просмотров
  9. Открыть пост

    SEHEMU YA PILI: MPANGO WA JESHI LA PAMOJA NA MIKUTANO YA SIRI DAR ES SALAAM Baada ya kuwasili Tanzania, Che Guevara alianza kukutana na wawakilishi wa harakati mbalimbali za ukombozi wa Afrika. Moja ya mikutano muhimu ilifanyika katika Ubalozi wa Cuba, eneo la Upanga jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo walikuwapo wawakilishi wa makundi ya mapambano kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Che aliwasilisha wazo lake aliloliita Common Front, yaani kuunda umoja wa wapiganaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, Asia na Amerika Kusini ili kupambana na ukoloni na ubeberu. Alitaka wapiganaji hao wapate mafunzo ya kijeshi na kushirikiana katika vita vya ukombozi, badala ya kila kundi kupigana kivy...

    24 просмотров
  10. Открыть пост

    #CHAKUSHANGAZA CHE GUEVARA NA TANZANIA, SIRI YA ZIARA ZAKE, MAKAZI YAKE DAR ES SALAAM NA OPERESHENI YA KONGO SIMULIZI YA KIHISTORIA KATIKA Hii ni historia ya kusisimua kuhusu mwanamapinduzi maarufu wa Cuba, Ernesto Che Guevara, na uhusiano wake wa siri na Tanzania katika miaka ya 1965-1966. Wengi wanamfahamu Che Guevara kama mmoja wa viongozi wa Mapinduzi ya Cuba, lakini si wengi wanaojua kuwa Tanzania ilikuwa na nafasi muhimu katika mipango yake ya kimapinduzi barani Afrika. Tutafuatilia safari yake ya kwanza Dar es Salaam, mikutano yake na viongozi wa Tanzania pamoja na wapigania uhuru wa Afrika, operesheni ya siri ya Cuba nchini Kongo, na kipindi alichojificha jijini Dar es Salaam baada...

    28 просмотров

Вопросы о канале «Chakushangaza»

Сколько подписчиков у канала «Chakushangaza»?

У канала «Chakushangaza» (@chakushangaza) 3 244 подписчика на 12 ноября 2026 г.

Растёт ли канал «Chakushangaza»?

Сейчас нет. Отток за последние 30 дней: 94 (-2,8 %).

Сколько человек видят пост в канале «Chakushangaza»?

Средний пост набирает около 41 просмотров за 24 часа, это примерно 1 % подписчиков (ERR).

О чём канал «Chakushangaza»?

Канал в категории «Факты», язык постов: шона. Описание канала: «Njoo▶tukujuze ▶tukushangaze ▶tukuelimishe ▶tuulishe ubongo wako madini CHANNEL ILIANZISHWA RASMI MNAMO 11/06/2019»

Какое место занимает канал «Chakushangaza»?

По числу подписчиков: №89 в категории «Факты», №1 среди каналов на языке «шона», №4 971 в мире.

Публикует ли канал «Chakushangaza» рекламу?

За последние 30 дней ни один из 33 постов не помечен как реклама (#ad, Sponsored, «Реклама»). Рекламу без пометки определить нельзя.

Статистика обновлена 1 час назад.